Header Ads Widget

HUYU MAMA AMEPAMBANA NA CHUI AKITOKA SHAMBANI HADI KUMUUA



Mama mwenye umri wa miaka 54, Kamla Devi amemuua Chui alipokuwa anatoka shamba na kurejea nyumbani huko nchini India.

Katika harakati za kurudi nyumba baada ya kuhitimisha shughuli za shamba ndipo njiani mama akakutana na mnyama wa porini anayefahamika kwa jina la Chui ndipo vurugu zikaanza. Kwakuwa mama huyo alikuwa na mundu na jembe dogo aliweza kumthibiti mnyama huyo asiweze kumzuru, mapigano hayo yalidumu kwa dakika kadhaa baada ya kila mmoja kujeruliwa, ila mama huyo alipoteza nguvu nyingi kutokana na kuvuja damu sana kabla ya kupata msaada, na baadae katika kumtafuta wakamkuta Chui huyo amekufa ila hadi sasa mama huyo anaendelea na matibabu katika hospitali kuu ya India.


Post a Comment

0 Comments