Header Ads Widget

PICHA: MAANDALIZI YA KUAGWA KWA MAREHEMU GEORGE TYSON KWENYE VIWANJA VYA LEADERS CLUB,BOFYA HAPA KUZIANGALIA



Hapa ndipo jeneza lililobeba mwili wa Marehemu George Tyson litakapoka a kwa ajili ya kuagwa.

Utaratibu huu umeandaliwa katika viwanja vya Leaders Club kwa lengo la kuwapa fursa wakazi wa jiji la Dar es Salaam kupata nafasi za kuuwaga mwili huo kabla ya kusafirishwa.

Meza kuu hii ikiwa ni maandalia ya kuuwaga mwili wa George Tyson aliyefariki dunia kwa ajali ya gari na anatarajiwa kusafirishwa leo kwenda Kenya kwa mazishi.


Endelea kutufuatilia kwa habari zaidi(Picha na Pamoja Blog)

Post a Comment

0 Comments