Header Ads Widget

HIZI NI PICHA ZA MREMBO WA YOUNG KILLER AGEUZA NOTI ZA ELFU KUMI SHUKA LA KULALIA



Unaposaini mkataba wa kufanya show na Kili Music Tour, hakuna wasiwasi kuwa milioni nyingi zitaingia kwenye akaunti yako.


Mavuno ya mzee?


Na hakuna kitu kizuri kufurahia pesa iliyoipata kama kumpa mwandani wako azishike na kuzichezea atakavyo.


Sabuni ya roho


Ndio maana Young Killer (kwa inavyoaminika kutokana na picha) aliamua kumpa mrembo wake, Halimaty vitita kadhaa alivyovigeuza kama shuka la kulalia. via bongo5

Post a Comment

0 Comments