Mtangazaji wa TV na ex wa Diamond Platnumz, Penny Mungilwa aka VJ Penny anasumbuliwa na ugonjwa wa Asthma uliomkaba kwa siku tatu mfululizo.

VJ Penny akiwa na chombo cha kumsaidia kupumua Penny ameshare picha akiwa na kifaa maalum cha kumsaidia kupumua na kuandika: Asthma plss leave me alone..emojiemoji three days in a row.”
Get well soon Penny.
0 Comments